Share:

PICHA 10: Chumba alicholala mkali Chris Brown Mombasa bei hii hapa Mombasa bei hii hapa

Najua nina watu ambao wanataka kufahamu vingi kutoka kwa Mkali Chris Brown tangu alipowasili Mombasa Kenya, sasa nimefanikiwa kuinasa hii ya bei ya chumba alicholala mkali huyo.

Nilichoambiwa ni kwamba thamani ya shilingi milioni 3,230,700/= za kitanzania ndio bei ya usiku mmoja kwa chumba hicho kwa mteja kupumzika ambacho kimetengwa kwenye VIP yao.

Zitazame hizi baadhi ya picha za muonekano wa chumba hicho alicholala Chris Brown.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.